Joshua 15:21-63

21 aMiji ya kusini kabisa ya kabila la Yuda katika Negebu kuelekea mpaka wa Edomu ilikuwa:

Kabseeli, Ederi, Yaguri,
22Kina, Dimona, Adada, 23 bKedeshi, Hazori, Ithnani, 24 cZifu, Telemu, Bealothi, 25Hazor-Hadata, Kerioth-Hezroni (yaani Hazori), 26 dAmamu, Shema, Molada, 27Hasar-Gada, Heshmoni, Beth-Peleti, 28 eHasar-Shuali, Beer-Sheba, Biziothia, 29 fBaala, Iyimu, Esemu, 30 gEltoladi, Kesili, Horma, 31 hSiklagi, Madmana, Sansana, 32 iLebaothi, Shilhimu, Aini na Rimoni; hiyo yote ni miji ishirini na tisa, pamoja na vijiji vyake.

33 jKwenye shefela ya magharibi:

Eshtaoli, Sora, Ashna,
34 kZanoa, En-Ganimu, Tapua, Enamu, 35 lYarmuthi, Adulamu, Soko, Azeka, 36 mShaaraimu, Adithaimu na Gedera (au Gederothaimu); yote ni miji kumi na minne, pamoja na vijiji vyake.
37Senani, Hadasha, Migdal-Gadi, 38 nDileani, Mispa, Yoktheeli, 39 oLakishi, Boskathi, Egloni, 40Kaboni, Lamasi, Kitlishi, 41 pGederothi, Beth-Dagoni, Naama na Makeda; yote ni miji kumi na sita pamoja na vijiji vyake.
42 qLibna, Etheri, Ashani, 43Yifta, Ashna, Nesibu, 44 rKeila, Akzibu na Maresha; yote ni miji tisa pamoja na vijiji vyake.
45 sEkroni, pamoja na viunga vyake na vijiji vyake; 46 tmagharibi ya Ekroni, maeneo yote yaliyokuwa karibu na Ashdodi, pamoja na vijiji vyake; 47 uAshdodi, miji yake na vijiji vyake na Gaza viunga vyake na vijiji vyake, hadi kufikia Kijito cha Misri na Pwani ya Bahari Kuu.

48 vKatika nchi ya vilima:

Shamiri, Yatiri, Soko,
49 wDana, Kiriath-Sana (yaani Debiri), 50 xAnabu, Eshtemoa, Animu, 51 yGosheni, Holoni na Gilo; miji kumi na mmoja pamoja na vijiji vyake.
52 zArabu, Duma, Ashani, 53Yanimu, Beth-Tapua, Afeka, 54 aaHumta, Kiriath-Arba (yaani Hebroni), na Siori; miji tisa pamoja na vijiji vyake.
55 abMaoni, Karmeli, Zifu, Yuta, 56 acYezreeli, Yokdeamu, Zanoa, 57 adKaini, Gibea na Timna; miji kumi pamoja na vijiji vyake.
58 aeHalhuli, Beth-Suri, Gedori, 59Maarathi, Beth-Anothi na Eltekoni; miji sita pamoja na vijiji vyake.
60 afKiriath-Baali (yaani Kiriath-Yearimu) na Raba; miji miwili pamoja na vijiji vyake.

61 agHuko jangwani:

Beth-Araba, Midini, Sekaka,
62 ahNibshani, Mji wa Chumvi, na En-Gedi; miji sita pamoja na vijiji vyake.

63 aiYuda hakuweza kuwafukuza Wayebusi, waliokuwa wakiishi Yerusalemu; hadi leo Wayebusi huishi huko pamoja na watu wa Yuda.

Copyright information for SwhNEN